Unknown Unknown Author
Title: MSIBA:MSANII NA MUONGOZA FILAMU AFARIKI GHAFLA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mdogo wa aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno ‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' enzi za uha...

Mdogo wa aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno ‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' enzi za uhai wake.
 
Mdogo wa aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno ‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' amefariki dunia ghafla katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Dar mchana leo. 
Msiba upo Sinza Vatican
Benii alikuwa muigizaji na muongozaji wa filamu mbalimbali nchini. Mipango ya mazishi ya kumpeleka kwao Kenya
Chanzo:GPL


LIKE Ukurasa wetu wa MJUMBE BLOG au Tutembelee Mtandaoni moja kwa moja kwa Kuandika neno MJUMBE BLOG kisha ingia hapo ili upate Picha,Matangazo,Taatifa mpya,Habari Mpya kila Mara!

©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top