Unknown Unknown Author
Title: TUNAJITAFUTA:PICHA ZA KISIWANI LUPITA ZIWA TANGANYIKA! NA MDAU WETU WA "ADVENTURE"!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
[19:46, 10/25/2014] Mosi Mosy: mzee mmoja nilikaa nae bar akaniambia simplify your life son! nikamuuliza how? akasema just connect to other...
[19:46, 10/25/2014] Mosi Mosy: mzee mmoja nilikaa nae bar akaniambia simplify your life son! nikamuuliza how?
akasema just connect to other rings!
[19:48, 10/25/2014] Mosi Mosy: the problem whith u kids is ur life styls...
the more rings you connect yourself the simpler your life becomes..!

....akaniambia a ring of life is a group of people sharing the same kind of information!
they may be class mates., age mates, staff mates, people with the same proffesion, etc
bt they think alike,
they see opportunities by the same eye so they attempt alike..


....kwahiyo kuna rings zinaface maisha magumu coz hawaoni opportunities ambazo other rings wanaziona..na kuna rings wanamawazo mazuri bt hawana capital, kuna rings zina capital and hazina mawazo mazuri...kuna rings zimekamilika kila kitu! n.k
so kwa kujifungia kwenye ring moja you will never kno what is out side there!
get connected to as many rings as possible!


.....aliniambia ivo kwenye semina coz alinikuta lunch nimekaa na depo mates wangu...
and yeye anatokea makao makuu..alikuja kwenye meza yetu akakaa kama dk tano anasikiliza tunayoyaongea.. akasema nyinyi lazma ni depo mates coz mnazungumza lugha ambayo mtu mgeni bases kuielewa lazma awe familiar na mnachoongea..
akaanza kutuonyesha meza zingine wamekaa watu wa zenji peke yao, nyngne watu wa makao makuu peke yao,
lakin sehem kama hii ni sehemu ambayo unatakiwa kuconnect na watu wengne ili ujue nao wanawaza nn?, wanaongelea sana kitu gan sana? wanamipango gan kwenye maisha yao!? n.k
usikae na watu wale wale kila siku wenye mawazo ya aina moja..au wanaofanya kaz moja...au waliokua pamoja au wamesoma pamoja n.k
thats how u connect to other rings...!

.....hah hah hah
akasema...simu yako haitakiwi kuwa na majina elfu moja ya watu ambao hata huwasiliani nao wala hawakusaidii chochote!
u hav to link with people ambao wanafanana na wewe...wale ambao wanaelekea unakotaka kwenda ww..
sio wanaokurudisha nyuma!"
Ni Maneno ya Mdau Mwenza wa MJUMBE BLOG MOSI Q!

Endelea Zaidi.....
POINT OF CORRECTION!!

MJUMBE BLOG sio jina la Mtu...
Bali ni Timu.

Ni familia yenye Wajumbe Walio Sambaa kila Kona ya Nchi yetu! Kasikazini,Kusini,Mashariki Magharibi na Kwingine Ulimwenguni!

MJUMBE sio Mwingine;Bali ni wewe na Mimi.
MJUMBE sio cheo,Wala sio Madaraka!

MJUMBE ni Falsafa,
MJUMBE ni dhana
Na ni Legacy pia.


UJUMBE ni UWAJIBIKAJI!

MJUMBE ni Mwakilishi wa yeye na Wengine katika Uhalisia wao.

MJUMBE BLOG nijumla ya Watembeleaji wa MJUMBE BLOG Mtandaoni,
Wapiga picha za Kumbukumbu,
Wahifadhi picha na Matukio Muhimu Kwa lengo la Kujuzana na Kupanua wigo wa Upeo na Fahamu Za Wa Tanzania na Wageni bila kujali Misingi au Ukomo wa tofauti za kiitikadi,Kiimani,Uchumi,
Kariba ama kinasaba!!

MJUMBE BLOG Tuna Amini kuwa ni Mwenye Uwezo wa Hali na Mali,mweredi na Mwenye Ufahamu Mkubwa anaye weza aka Tembea Umbali Mrefu kutoka Mazingira yake asilia ya kila siku na kwenda Kuishi au Kutembelea Maeneo ambayo naye ataitwa Mgeni na Wenyeji wake! "Mtalii" Ina Hitaji Uwe na Exposure kubwa Mno ,Elimu ya Chuo kikuu pekee haitoshi kufanikisha hilo!
Ni Fahari iliyoje????

Leo Twende Ziwa Tanganyika "Kisiwani LUPITA"
Zifuatazo ni Sababu katika Picha zitakazo Kufanya Utembelee Ulimwengu huu!

Fuatana na Mosi Q "Mzee wa Adventure"

Ni kisiwa kilicho ndani ya Ziwa Tanganyika...
Ni Kama Kilometa Mbili tu ukitokea Nchi kavu! Kina Ukubwa upatao kama Ekari Kumi hivi.Sehemu iliyo jitenga na yenye Vivutio vingi....
Kikubwa zaidi ni Hotel Nzuri na


Lupita ni Kisiwa chenye ufukwe na Pwani nzuri!



Zipo Ngarawa pia,kama unavyo ziona hapa pichani





Ni Mkoani Rukwa hapa,Kisiwani Lupita hapa







Mosi Q "Wa Adventure" akiwa ana endelea kujivinjari Kisiwani!

Anapoteza Siku Huku ana Tabasamu.... Anaishi!
Nyuma ya Pazia Kaaaazini.

Kazi ni Kipimo cha Utu.


Tuna shukuru kwa kututembelea!


LIKE Ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Moja kwa moja Mtandaoni Andika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo Upate picha,Taarifa Mpya,Matangazo na Habari Muhimu kila Mara.

©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top