Unknown Unknown Author
Title: PICHA ZA MWANA MITINDO WETU! "SIKU IZI VITENGE NDO VINA TOA BOMBA"
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Chagua mtoko wako hapo ili Nawewe Utokelezee! Siku Hizi Vitenge Ndo BREKING NEWZ YA TOWN! Vionjo vya Wana mitindo wetu! Ni im...









Chagua mtoko wako hapo ili Nawewe Utokelezee!


Siku Hizi Vitenge Ndo BREKING NEWZ YA TOWN!

Vionjo vya Wana mitindo wetu!
Ni imani yetu kwake lile ni zaidi ya vazi! Na nizaidi ya kupendeza!
Lengo ni Kusogeza Kazi za Sanaa kwa WABUNIFU WETU ili sio tu wajiingizie Kipato wao bali pia waweze kuutangaza UTAMADUNI wa nchi yetu kupotia Mavazi!
Yaani ije ifike kipindi hata kama upo Nje ya nchi ukionekana umevaa Mtu ana jua Huyu ni Mu Tanzania! Haihitaji uvae jezi ya Taifa! Vazi lako liwe UTAMBULISHO WAKO.

TUWAPE SAPOTI JAMAA ZETU WANAO FANYA KAZI HIZI ILI NAO WAONGEZE ARI ZAIDI!

MJUMBE BLOG:Tuna Tambua Mchango mkubwa wa kazi za Wabunifu wetu wa ndani!
Tuna heshimu kazi zao kwani hufungua ajira pia ni chanzo cha kujiingizia kipato halali Lakini Zaidi ya yote ni UTAMBULISHO wetu Kama Jamii.
Tuna toa Pongezi!

MJUMBE BLOG Mtandaoni Tunapatikana kwa Kuandika neno MJUMBE BLOG kisha Inabofya na Kuingia hapo ili uhabarike nasi na kuburudika Mara kwa mara!

Mawasiriano na Mbunifu huyu NO:0714481790

©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top