Usi waige wala bata Uta umia aisee
Kitu cha shisha Mnyama akifanya yake Mavurugu.
Jamaa ana Jikubali Kupita ule mstari wa Chaki!
Huyu ni Miongoni mwa wadau wa MJUMBE BLOG mtandaoni
Ana jiita BATA BOY;Starehe au Sherehe iliko Nayeye Yupo!
Location yake Kwa hapo ina soma Dar.
Ana wakilisha MJUMBE BLOG pande Mbali mbali za Nchi yetu Kuanzia Sumbawanga Mpaka Dar na Dar Mpaka Arusha!
Kwetu ni Kiungo muhimu popote alipo akati wote.
Amekuwa akijitolea kufanya kazi.
ANGALIZO:
Bata bila kazi ni sawa na kesi bila Dhamana.
#IGA KAZI USIIGE MATUMIZI.
Picha Zote Mali ya MJUMBE BLOG
©Mjumbe Blog Volunteers.

Post a Comment