TEH!HAPA SIFA MACHO MBELE..SISI TUWE WA KWANZA BAJETI..
Nikiwa katika safari zangu napita maeneo haya hapa Mlowo!Naomba nikutaarifu wewe mdau wetu kwamba eneo hili huwa halipitiki kabisa wakati wa masika na ukitaka kupita hapa ukiwa salama hata wakati huu wa kiangazi basi hakikisha hujapata zile za kwenye viti virefu(pombe).
Ninasema hivi kwa sababu Mjumbe mwenyewe nimetumia dakika kadhaa hapa nikiwaza jinsi ya kuvuka..
Hizi ndizo changamoto kwel..mamlaka ziwasaidie wakazi wa maeneo haya kwani ni hatarisho kwa uhai!
Na Mjumbe Jr
Post a Comment