GOODMORNING MLOWO...
Haya ndio mazingira ya mji huu mdogo wa kibiashara mlowo.
Harakati na mishemishe ndio sifa kuu ukiwepo hapa na biashara ya mazao hasa ikishamiri msimu huu wa kiangazi.
Karibu mlowo yetu kisima cha mafanikio.
Na Mjumbe Jr
KARIBU MJUMBE BLOG UWE WA KWANZA KUHABARIKA
Post a Comment