
Pichani ni ndg Anganile Mwamuluma Andrea
Ndugu Andrea Mwamuluma;Ambaye anajishughulisha na Shughuli ya Upiga debe katika Stendi ya Mbalizi Mbeya!
Ame zua mshangao miongoni mwa wa Tanzania baada ya kujitolea Zawadi zenye Thamani ya TSh.Milioni Moja kwa Yatima na Mbuzi mbili.
Ame kaririwa aki waasa Yatima hao kuwa Kamwe wasije wakatamani Kwenda kupiga debe kama yeye!
LIKE ukurasa wetu wa Facebook au Tutembelee Mtandaoni kwa kuandika MJUMBE BLOG ili upate Picha,Matangazo,Taarifa na Habari Muhimu mara kwara!
©Mjumbe Blog Volunteers.
Post a Comment