
Mkali huyu anaye julikana kama TI;ambaye Jina lake halisi anaitwa Harris Joseph anavuma kwa miondoko ya Hip Pop ulimwenguni!
Ame amua kuwa fanyia Jambo la ziada Wapenzi na Mashabiki Wake wa Mziki kwa Kufungua Duka la Pamba kali na Origino Jijini Dar Zinazo beba jina la Kampuni yake ijulikanayo kama 'AKOO WEAR'
Duka hilo litafunguliwa siku moja tu Kuanzia Saa 04 Mpaka Saa 9 jioni
Pale Dar free Market Osterbay.
Tuna Kushukuru kwa Kututembelea!
Tutembelee Mtandaoni kws Kuandika MJUMBE BLOG kisha Kuingia hapo!
©Mjumbe Blog Volunteers
Post a Comment