Unknown Unknown Author
Title: WAAOH! CHEKI PICHA HAPA:KUMBE TUME KOMAA KISIASA SASA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni gari la Wafuasi wa CHADEMA likiwa lime wapa Msaada Wafuasi wa CCM! Kwetu Kama MJUMBE BLOG ni Ishara Njema ya Ukomavu kisiasa. ...

Pichani ni gari la Wafuasi wa CHADEMA likiwa lime wapa Msaada Wafuasi wa CCM!

Kwetu Kama MJUMBE BLOG ni Ishara Njema ya Ukomavu kisiasa.

Pia ni Sauti ya Wito Kwa Wananchi Kuhimiza Umoja,Mshikamano na Udugu wetu Bila kujali Mpaka ya Kisiasa.

Huu ni Mfano wa Kuigwa!
Kwa Viongozi wengine na Wanasiasa wengine pia.Kuepuka kuendesha siasa za Chuki na Uhasama ndani ya jamii moja.

SAFI ZAIDI YA SANA

LIKE ukurasa wetu wa MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni moja kwa Moja kwa Kuandika Neno MJUMBE BLOG ili kupata picha,Matangazo,Habari Mpya na Taarifa kila Mara.

©Mjumbe Blog Volunteers.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top