Unknown Unknown Author
Title: CHOAMVA14:TUZO TATU ZOTE KATI YA NNE;KWA DIAMOND! Kujua Zaidi Bofya Hapa
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Diamond, Salam, Babutale na Vanessa Mdee wakiwa na tuzo Diamond alikuwa ametajwa kwenye vipengele vinne. Vipengele hivyo ni pamoja na Mo...

Diamond, Salam, Babutale na Vanessa Mdee
wakiwa na tuzo
Diamond alikuwa ametajwa kwenye vipengele
vinne. Vipengele hivyo ni pamoja na Most Gifted
East Video, Most Gifted Afro Pop Video na Most
Gifted Newcomer.
Kwenye tuzo hizo Diamond amefanikiwa
kuwapiku wasanii nguli wa Afrika wakiwemo
Iyanya, Davido, Flavour, Mafikizolo na Sauti Sol.
Ushindi huo umepokelewa kwa furaha kubwa na
Watanzania wakiwemo wasanii wenzake.
“TANZANIA STAND UP! HE DID IT!
@diamondplatnumz,” ameandika Davido.
“@diamondplatnumz wow congrats bro 3rd
award already!! #cocobaby,” ameandika msanii
wa Nigeria, Waje.
Naye Jokate Mwegelo aliyewahi kuwa mpenzi
wake ameandika:
“Tanzania kwanza. Hongera sana
@diamondplatnumz ….. Una vitu vyako vingi vya
sijui project hiki an kile lakini kwenye ukweli
naongea na siku zote mimi nakubali wewe una 1.
Jitihada 2. Vision/Muono wa mbali 3. Kipaji …..
From Tandale to the World. You are a true
inspiration. Watoto wengi sasa hivi wataamini
wanaweza kufanikiwa kwasababu ya njia
ulioweza kuionyesha wewe kwenye kazi zako.
Keep on shining bruh. Tanzania tuko nyuma yako
wewe na nyuma ya wale wote wenye vipaji na
jitihada. It’s time Tanzania tukatoa vipaji zaidi
na zaidi tukaweka team za ushabiki ambazo
hazijengi pembeni na kujenga umoja
utakaotuwezesha ku-take over Afrika na dunia
nzima. Tanzania tunaweza. Haya usiku mwema.

Hitmaker wa Doc Shebeleza, Casper Nyovest
naye amenyakua tuzo tatu, Most Gifted South
Video,

Most Gifted Male Video Doc na tuzo
kubwa ya usiku huo,

Most Gifted Video of the
of
Year.


Hii ni orodha nzima ya washindi:lives
Most Gifted Video of the Year
Doc Shebeleza – Casper Nyovest

Most Gifted Male Video
Doc Shebeleza – Casper Nyovest


Most Gifted Female Video
Eminado – Tiwa Savage


Most Gifted Afro Pop Video
Number One – Diamond Platnumz

Most Gifted South Video
Doc Shebeleza – Casper Nyovest

Most Gifted East Video
Diamond
Most Gifted West Video
‘Turn Up’ – Olamide
Most Gifted duo/group/featuring
Pull Over – KCEE f/ Wizkid


Most Gifted Kwaito
Uhuru ft Oskido & Professor


Most Gifted RnB Video
‘Crazy But Amazing’ – Donald


Most Gifted Hip hop Video
Congratulate – AKA


Most Gifted Dance Video
Ngoku – Busiswa


Most Gifted Newcomer
Diamond Platnumz


Most Gifted Ragga Dancehall
Buffalo Souljah.




LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook ili Ujiunge na Familia yetu kupata Habari mpya,Taarifa muhimu,Matangazo,Picha na stori za hapa na pale kila mara nje na ndani ya nchi.



©Mjumbe Blog Volunteer

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top