Unknown Unknown Author
Title: YULE MSICHANA ALIYE MFANYIA UKATILI MTOTO,ATOBOA SIRI NZITO,AKIWA POLISI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya story ya yule msichana kwa anayefanya kazi za ndani Uganda kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, l...

Baada ya story ya yule msichana kwa
anayefanya kazi za ndani Uganda kuchukua
headlines katika vyombo mbalimbali vya
Kimataifa Duniani, leo kipo ambapo
amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu
afanye kosa hilo.
Msichana huyo Jolly Tumuhiirwe ambaye kwa
sasa amekamatwa na Polisi amesema sababu
iliyomfanya amtese mtoto Arnella Kamanzi, ni
kutokana na kuchanganyikiwa baada ya waajiri
wake kutompatia pesa ili amtumie baba yake
ambaye alikuwa anaumwa.
Amesema anajiona mwenye hatia kwa
alichokifanya japo anadhani alifanya hivyo kama
njia ya kumkanya mtoto huyo kwa kuwa alikuwa
akimuona mama wa mtoto huyo alikuwa
akimpiga kama njia ya kumkanya.
Jolly amelalamika kuwa anajisikia vibaya pale
ambapo wafungwa wenzake wamekuwa
wakimtenga sana na kutaka kumpiga.



LIKE MJUMBE BLOG facebook ili Kupata Picha,Habari,Matangazo,Taarifa mbali mbali kila Mara ndani na nje ya nchi.



©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top