
Kikosi cha Taifa star leo kina shuka dimbani nchini Swaziland kumenyana na Kikosi cha timu ya taifa cha Swazland,katika mchezo wa kirafiki ulio katika kalenda ya shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni FIFA.Utakao pigwa kwenye uwanja wa Taifa nchini humo,SOMHOLOLO.
KILA LA KHERI TAIFA STARZ.
Like page yetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee mtandaoni andika MJUMBE BLOG ingia hapo.
©Mjumbe Blog Volunteers
Post a Comment