
Katibu wa Uenezi na itikadi chama cha mapinduzi Nape Nnauye aliya sema hayo alipo kuwa akiwahutubia wakazi wa kata ya chumo,wilaya ya Kilwa.Ambapo alisema wana nchi wasi chague vyama vya upinzani kwa sababu havina lengo la kuwa letea Maendeleo,badala yake wachague CCM kwasababu ndicho chama pekee nchini chenye uwezo wa kuwaletea Maendeleo na kutatua kero zinazo wakabili.
Tuna Shukuru kwa kututembekea!!
LIKE page yetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni andika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo upate picha,Matangazo,Habari mpya,Taarifa muhimu kila mara.
©Mjumbe Blog Volunteers
Post a Comment