Unknown Unknown Author
Title: PICHA NA MAELEZO:JINSI MDAU MWENZA WA MJUMBE BLOG ALIVYO SHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NOVEMBA 22 2014
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani nikiwa nyuma ya Kamera mita chache tu Uelekeo wa Lilipo Lango kuu la Hospitali ya Rugalawa Mision. November 22, 2014 115 of your...

Pichani nikiwa nyuma ya Kamera mita chache tu Uelekeo wa Lilipo Lango kuu la Hospitali ya Rugalawa Mision.

November 22, 2014
115 of your friends wished you a happy
birthday.

Nashukuru Ndugu zangu Mlio nitamkia Maneno ya Fanaka,Kheri na Hata Kunitakia Siku ya FURAHA ya kuzaliwa kwangu
22 Novemba!!

Pia Niombe radhi kwa kuchelewa kutoa Neno la Shukrani na Asante mara tu pindi Mlipo Nitumia salaam hizi....
Nashukuru kwa Wote Mlio Onesha dhahiri kutambua uwepo Wangu katika Ukurasa huu...

ILI UJUE
NIME SHEREKEA VIPI,WAPI,SHEREHE YANGU YA KUZALIWA 22 NOVEMBA 2014 nakuomba Ungana nami katika Maelezo yangu hapa chini:-





Pichani nikiwa Ludewa Asubuhi ya 22 Novemba 2014😀😀😀😀😀😀

SHUKRANI MLIO NI WISH HBD!

Kwanza kabisa nianze kwa kuomba radhi Kwa kuto kuwepo ndani ya MJUMBE BLOG kama mdau mwenza na kuwa achia Wana Familia watakapo pata fursa Waendelee na Kazi kwa Zaidi ya Masaa 48! Bila taarifa rasmi.

Tangu juzi nili itwa kwa wakuu wangu wa kazi ili nikalitumikie Taifa langu zaidi katika kujenga jamii mpya...

Kwahiyo jana nilikuwa eneo ambalo mtandao upo Weak sana kiasi cha kushindwa hata kupokea wala kujibu ujumbe!

...Nikitambua wazi kuwa leo ni siku Muhimu sana kwangu ile hali ili takiwa niwe safarini tangu asubuhi Mpaka Jioni hii nikiwa hapa Mpakani mwa Ludewa na Madaba kutekeleza wajibu wangu nilio pewa na wakuu wangu kikazi!!

Zaidi ya yote Kwakua najua Kila mwaka siku kama ya leo Ni BD yangu tangu awali nilipanga kwenda kuwa Tazama Watoto na Akina mama Walio lazwa katika hospitali ya RUGALAWA MISION ILIYOPO Kando ya Jiwe la Liganga...
Mpaka jana ratiba yangu ili kuwa ime kwama!

Usiku wa jana nika fikiri kwakua nime lala Ludewa Halmashauri pale asubuhi ya 22 Nov leo niamkie Hospitali ya Wilaya pale kwenda kutimiza adhima yangu Lakin Hamadi nika pata Lift ambayo ilikuwa ikielekea uelekeo wa Madaba via Rugalawa moja kwa moja...

Mida ya saa nane leo nilifika Rugalawa tukiwa karibu ya kufika Pale tairi lilipata Pacha..
Dereva akatoa Nusu saa kwenda kula!
Kwakua nina Akiba ya M pesa nili itoa na kuandaa baadhi ya mahitaj kadri ya uwezo wangu ili nikatimize Azima yangu.

Muda huo ndio nika utumia kwenda kuwa ona akina mama na watoto Walio kuwa wame lazwa pale...
Nashukuru Uongozi nilipo jitambulisha na kuwa eleza adhima yangu Waliniruhusu kuingia pale japo nilikuwa nime chelewa!

Jambo la faraja ni kuona Watoto na akina Mama wale walivyo kuwa na roho ya Ucheshi na Ukarimu,Wakani ruhusu nijitambulishe...
Niliwatambulisha Jina langu tu Naitwa 'ELASTO' naishi Ludewa,Mwenyeji wa Mbeya...

nime kuja kuwatazama na kuwa takia Salaam ya Ugua pole... Nawa omba pokeeni hiki kidogo nilicho weza kuwanacho leo....

Kila wodi walionesha SHUKRANI NA BARAKA za Dhati ya Mioyo yao.
Walipo niuliza nini kilicho kusukuma nikajibu 'UTANZANIA'.

WOTE WALITAMANI NIWAJUE WAKAJITAMBULISHA KWA MAJINA YAO Hata Chumba cha mwisho!

Baada ya Kutoka hapo Nika Washukuru walinz na Wakunga walio niruhusu niwaone Wagojwa wale..

Nika elekea lilipo gari ili niendelee na Safari ya kuitafuta Mpakan mwa Madaba na LD!

'Yalabi Nime fika Salama;
Salama Salimini..'

Nina Mshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii aliyo nipa!
Ya kuiona 22 Nov ya 2014.

....Nina washukuru sana ndugu zangu.

Nijambo la kheri sana Unapo pewa fursa ya kuyashuhudia maneno ya Kheri na fanaka ya kiungwana kutoka kwa ndg na jamaa Ukiwa hai...
Nifuraha isiyo elezeka!
Wengi Ishara hii huionesha siku ya Mwisho ya kuiona dunia hii na Wengi Wame Ishia kuionyesha miili na kuitamkia Miili maneno kama haya lakin isisikie...

MIMI SI TU NIME AMBIWA MATENDO YENU KWANGU BALI NIME YAONA NA NIKA YASHUHUDIA.

SINA ZAWADI YA THAMANI ZAIDI YA NENO HILI

...ame barikiwa yule anaye Bariki...
MU BARIKIWE NDUGU ZANGU.

ASANTENI SANA.

Sina mengi zaidi ya hayo;
wenu awa pendaye kwa dhati ya Moyo

#MTEMBEA BURE!!

aka Elastic

Wasalaam;
MJUMBE.




LIKE page yetu MJUMBE BLOG au Tutembelee Mtandaoni kwa kuansika MJUMBE BLOG kisha ingja hapo upate picha,Taarifa mpya,Matangazo,Habari muhimu kila mara.




©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top