Katika maelezo yake mzazi wa AYAN,Alisema
"Niligundua mwanangu ana kipaji cha pekee pale nilipo kuwa niki Mwelekeza,vitu mbali mbali kuhusu IT na baada ya siku kadhaa nilipo muuliza tena nika kuta ana weza kuelezea kwa ufasaha...
...ndiyo maana ilipo fika wakati nika ambiwa kuna mtihani wa MICROSOFT nika mruhusu nayeye aingie kufanya...
Nilipata wakati mgumu kuwa aminisha wasimazi wa mtihani ule kuwa mwanangu ana weza akafanya vema,Kweli Mtihani ulionekana kuwa mgumu kwake lakini alipo kuwa akifikiria na kuweza kukumbuka majibu ali washangaza wengi sana....
Mwanangu ana ndoto nyingi sana,Pamoja na kutaka kuwa mtaalamu wa IT ana tamani siku moja aweze kuwa na kampuni la IT nchini mwake.. Sitaki kuwa aminisha kuwa Lazima kila mwaka aongoze kwenye mitihani yake ya IT la! Bali kutambuliwa na MICROSOFT tu katika Umri huu Inatosha sana...
"
Ali sema Mazazi huyu.
Naam;
Wazazi wengi Afrika wamekuwa hawajali
kuvitambua vipaji vya watoto wao kipindi
wanapokua kwenye hatua ya utoto na
wanapoanza kukua, mfano mzuri ni kwamba
ukiongea na watu ambao wana vipaji na uwezo
mkubwa kwenye mchezo kama mpira wa
miguu, ama kuimba na vinginevyo utagundua
kwamba jitihada binafsi zimewaongoza
kugundua vipaji vyao na mchango wa wazazi
ni mdogo ama usiwepo kabisa.
Hot news kutoka Coventry, Uingereza inamhusu
Ayan Qureshi ambaye ana umri wa miaka sita
tu, na mwaka jana aliingia kwenye list ya
watoto waliofanya maajabu ambapo alifanya
mtihani wa kampuni ya Microsoft
unaothibitisha wataalamu wa IT duniani na
kufaulu, baba yake ambaye ni mtaalamu wa IT
anasema alimfundisha mtoto wake kuhusu
masuala ya Kompyuta tangu akiwa ana umri
wa miaka mitatu.
Katika mahojiano na mtoto huyo amesema
mtihani ulikuwa mgumu lakini alienjoy
kuufanya na alijiandaa kwa miezi mingi kabla
ya kuufanya, kutokana na kufaulu mtihani huo
kwa sasa anakuwa ni mtaalamu wa IT
aliyethibitishwa na Microsoft ambaye ana umri
mdogo zaidi duniani.
Tunashukuru kwa kututembelea
LIKE Page yetu MJUMBE BLOG facebook au Andika MJUMBE BLOG ingia hapo ili utupate Mtandaoni moja kwa moja kila mara.

Post a Comment