Unknown Unknown Author
Title: PICHA ZAIDI YA TANO:MADABA HAWA IJUI ESCROW,WAO KWAO NI MSIMU WA KILIMO TU!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hapa ni Pembezoni mwa mto Ruhuhu upande wa Ruvuma,maandalizi ya msimu wa kilimo haya.Maili mia Kulifikia Ziwa Nyasa Upande wa Manda. Ni ...

Hapa ni Pembezoni mwa mto Ruhuhu upande wa Ruvuma,maandalizi ya msimu wa kilimo haya.Maili mia Kulifikia Ziwa Nyasa Upande wa Manda.



Ni Uongo mweupe kama uta kuja hapa unambie kuwa huyu hapa pichani amesikia hata msamiati ESCROW na hata kama ana elewa habari ya mjinin kutwa ya leo.


Ishara hii ni Ushahidi kuwa ESCROW madaba sio tatizo tatizo ni Mbolea ya ruzuku,Mvua,Mbegu,
Mahindi kukosa soko n.k






Pichani ni Mto Ruhuhu hapa ni Mpakani mwa Mkoa wa Njombe na Mkoa wa Ruvuma,mto huu humwaga maji Ziwa Nyasa,Hapa ni Maili Zaidi ya Mia ili kuifikia Nsungwi pwani ya Ziwa Nyasa.



Songea Road hii hapa Upande wa Ludewa ni mwendo wa Kokoto na Buti buti na Kokoto haina Mkekeka hii Mkeka Mpaka utoboe Madaba!


Rejea ya picha na Malezo ni Mdau wa MJUMBE BLOG.

TASWIRA PICHA na Maelezo 2014 Novemba 27! Kutokea kijijini nchini Tanzania.


Huu hapa ni Ushahidi tosha kuwa Wana nchi wengi wa Vijijini Bado wana Changamoto kubwa katika kupata habari kwa Wakati na Hata mujijengea utamaduni wa Kusaka Taarifa za kile kinacho endelea nchini mwao.


Wengi wao Hata Mawimbi ya am hawa yasikii...
Achana na haya ya Fm ambayo yame jikita mijini.

Maisha yao kamwe hawa yabfungamanishi na Mfumo wa Siasa ya nchi yao!
Bali wame wekeza katika Imani na Mabadiliko ya Hali ya hewa.

Ita wagharimu Wahamasishaji wa UKWAPUAJI WA MABILIONI YA ESCROW Chopa tatu na Miezi Sitq ili kuwa enezea Habari hizi...

Tofauti na Gharama ya Mwenyekiti na balozi wa kijiji itakayo wagharimu WATOA RUZUKU na mawakala wa kilimo kuwa fikia wateja wao.

Hasa kuleta mchanganuo utakao hisianisha Kukosekana kwa Soko la mazao na Fedha za ESCROW,Kukosa huduma za afya na Ukwapuaji wa fedha za ESCROW,Uduni wa maabara za shule za Kata(Zima moto) na Utakatishaji wa Fedha za ESCROW!!

Hakika hakuna Uhusiano kwa Mkulima wa kawaida kama Huyu wa Madaba,Mavanga,Ruhuhu,
Songea hata Ludewa...!!


Taarifa zote Mali ya Mahojiano ya ana kwa ana kati ya Mpiga picha wa kijijini wa MJUMBE BLOG na Wakazi wa Vijiji vya Ludewa,Mavanga,Madaba,Getini,Ruhuhu Hata Songea Kwa Takribani safari ya Wiki moja sasa.




LIKE page yetu MJUMBR BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni andika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo Upate picha,Matangazo,Matukio na Habari mpya kila mara.



©Mjumbe Blog Volunteer

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top