AJALI YA MOTO
NCHINI CONGO.
Ni moja ya ajali mbaya na ya kutisha kuwahi kutokea katika siku za karibuni.Zaidi ya Watu 70 wana sadikiwa kupoteza maisha yao.
Ajali hii imetokana na ajali ya magari mawili ambayo moja lilikuwa Tanki la mafuta na jingine la mizigo yalitokeza msuguano yakiwa foleni bila hata mmoja wao kati ya madereva hao kutambua,hivyo kusababisha kuvuja kwa mafuta hayo yaliyo chuluzika mpaka maeneo ambayo Mama ntilie walikuwa wakiendesha shughuli zao hivyo kusababisha Mlipuko ghafla Ulio Angamiza maisha ya wengi.
Jitihada za kuokoa magari mengine yaliyo kuwa pembeni ziligonga ukuta baada ya Kuwepo kwa Vizuizi maeneo hayo ambapo wengi wa madereva walikuwa Tayari Katika nyumba za kufikia wageni na Vilabu vya pombe(Bar).
Fuatilia hapa baadhi ya picha za tukio zima:-
Picha:Zambia post

Post a Comment