Unknown Unknown Author
Title: SHUHUDIA HAPA JINSI:MAELFU WALIVYO MPOKEA MWIGULU MSOMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mhe.Mwigulu Nchemba alivyo lakiwa na Umati huku akiwapungia mkono wananchi walio hudhuria katika mkutano wake. Sehemu ya umati ulio hudhur...
Mhe.Mwigulu Nchemba alivyo lakiwa na Umati huku akiwapungia mkono wananchi walio hudhuria katika mkutano wake.
Sehemu ya umati ulio hudhuria mkutano huo
Naibu waziri wa Fedha Mhe.Mwigulu Nchemba akihutubia umati ulio hudhuria mkutano
Wananchi wakiwa wame beba bango lililo Msifia Mwigulu nchemba kwa Kusimamia Kodi za Umma na kuweza kutetea upande wa wanyonge Katika Ukurasa wake ame kaririwa akisema 'Nawashukuru sana Musoma Mjini.Historia imeandikwa kwa Mkutano Mzuri na wenye tija kwa Maendeleo ya Musoma na Mkoa wa Mara. "Tanzania ni yetu sote,lazima tuwajibike kulinda,Kusimamia na kushiriki katika Utunzaji wa rasilimali za Nchi yetu.Mabadiriko ni Vitendo". Mwigulu Nchemba

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top