Unknown Unknown Author
Title: IRAQ YABAINI WANAJESHI HEWA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Uchunguzi wa idara ya kupambana na vitendo vya rushwa nchini Iraq umebaini kuwepo kwa wanajeshi hewa 50,000 katika orodha ya malipo ya m...

Uchunguzi wa idara ya kupambana na vitendo vya
rushwa nchini Iraq umebaini kuwepo kwa
wanajeshi hewa 50,000 katika orodha ya malipo
ya mishahara.
Askari hao wajulikanao kama askari mizimu yaani
Ghost soldiers hawajawahi onekana kazini japo
kuwa mishahara yao ilionekana kuendelea kulipwa
kwa watu wasiojulikana.
Taarifa kutoka ofisi ya waziri mkuu wa Iraq ofisi
yake imechukua hatua kuhusiana na tatizo hilo na
tayari malipo ya mishahara hiyo ya skari hewa
imekwisha simamishwa.
Vitendo vya rushwa ndani ya jeshi la Iraq
vinatajwa kuchangia kurudisha nyuma vita dhidi
ya kundi la wapiganaji wa kiislam IS Kaskazini na
Magharibi mwa taifa hilo.


LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook kwa matukio,Matangazo,Habari,Taarifa Muhi

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top