Ni Buibui aliye onekana katika mji wa Dart ford,Kent Kiumbe mwenye sumu Hatari kwa uhai wa Mwanadamu ambayo ina weza kukuua Uking'atwa mara moja tu na bui bui huyu...
Katika hali isiyo tarajika,mtoa taarifa huyo alishangazwa na kumwona Bui bui huyu akiwa kwenye wigo na alipo baini kuwa ni yule Buibui Mwenye sumu kali ali amua kuwasiriana na Wana Usalama ili waje wamwondoe kitaalamu zaidi....
Baada ya kutoa taarifa,wataalamu wa masuala ya wadudu Wayne May,alifika na kumwona Buibui huyu,kisha waka amra wamu kamate na kwenda kumuhifadhi katika Mazingira salama kwake na Kwa wanadamu.
Wingham wildlife park,Canterbury;Kent ali sema Daktari
Soma Zaidi...
Now in safe custody with animal expert
Wayne May at the Artisan Rare Breeds
Centre, the creature was spotted in Dartford,
in Kent.
Sometimes known as the 'toilet spider',
redbacks can be commonly found living
under toilet seats.
Mr May was contacted by a female dog
walker who discovered the spider on a fence
close to the Dartford Crossing.
He says he went to collect it after a hazy
picture confirmed his suspicions it was an
Australian redback.
The creature will now be taken to Wingham
Wildlife Park, near Canterbury, in Kent.
Mr May, 43, said: "I was surprised because
they can't survive in this climate, it is quite
incredible.
"I read about them a few weeks ago, I phoned
the police because it is quite toxic and
potentially very dangerous. It's only the
second time I've called officers."
Although the spider did not use any venom,
the creature did frighten Mr May's mother
Maureen.
He added: "She doesn't like spiders, she
breaks out in a cold sweat when she looks at
them."
The rare breeds centre specialises in the
conservation of endangered livestock and
poultry.
LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook ili Uweze Kupata Picha,Matangazo,Habari muhimu,Taarifa Mpya kila mara.
©Mjumbe Blog Volunteer
Post a Comment