
Pichani ni Bata Maji wakiwa katika
Ime Zoeleka mara nyingi kuwa Ndege ambaye huwa ana ashiria Upendo ni NJIWA!! Wengi Ukimtaja Huyo wana elewa una maanisha Mapenzi ya dhati toka moyoni ya Kuwa na Mwenza Mmoja na Mwaminifu.
Wataalamu wa utafiti wa masuala ya ndege wame mbaini Ndege mwenye tabia ya pekee zaidi huyu ni 'Bata maji'
Bata maji ana Mwenza Mmoja tu maisha yake yote na atakapo Ondokewa naye anaweza akafa kwa Msongo na Upwe.
Chukua hiyo!!
LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni andika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo ili upate Picha,Matangazo,Habari,Taarifa kila mara.
©Mjumbe Blog Volunteers.
Post a Comment