Unknown Unknown Author
Title: VURUGU ZA UBUNGO PLAZA PAUL MAKONDA ATAJWA;WARIOBA APIGWA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Jaji Warioba alipo kuwa akiondolewa eneo la tukio. Katika hali isiyo ya kawaida leo katika Mdahalo wa Rasmu ya katiba mpya,Maoni ya wanan...

Jaji Warioba alipo kuwa akiondolewa eneo la tukio.

Katika hali isiyo ya kawaida leo katika Mdahalo wa Rasmu ya katiba mpya,Maoni ya wananchi na katiba inayo pendekezwa. kume zuka Mvutano Mkali baada ya Vijana wanao semekana kuwa ni Wanachama wa CCM ambao inasemekana kuwa wali ongozwa na Paul Makonda kuvamia Ukumbini;Ubungo plaza na Mabango yalio onesha Kukidhana na Mtazamo wa Maada husika.

Baadhi ya nukuu za awali kabisa zilizo tolewa na baadhi ya mashuhuda walio kuwa eneo la tukio hizi hapa:-

Maneno ya Butiku naomba kunukuu "Huu uhuni uliyofanywa na Makonda haukubaliki hata kidogo, kitendo cha kumpiga Warioba na chupa tunaomba serikali iliangalie jambo hili na pia kuhakikisha katika midahalo mingine huyu muhuni asiwepo, Asanteni" mwisho wa kunukuu.


Maneno ya Butiku baada ya kikao kuisha akiongea na vijana nje ya ubungo plaza

Naomba kunukuu "Kamwe vijana wa CCM msikubali kuchagua viongozi wanaomtuma Makonda kutenda haya, ni uhuni na ujinga wa hali ya juu" 
By Komando Kipensi:
Chanzo:Jf

Maoni Zaidi....


LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni kwa Kuandika MJUMBE BLOG upate Picha,Matangazo,Habari,Taarifa Muhimu kila mara.

©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top