
Pichani ni Mtuhumiwa wa wizi wa fedha Ambaye jina lake halikupatikana mara moja anaye hisishwa na wizi wa Fedha za mteja wa Benk Moja maarufu nchini.
Akiongea kwa Masikitiko aliye fanyiwa Uhalifu huo alikaririwa akiwa ame andikaka hivi:
Aliye Ibiwa:Nani anamfahamu huyu sura ya kima!? She used to work at Barclays kinondoni branch!!!
Aliye ibiwa:Yep.. Mtu yoyote anayemjua jina lake na anapoishi na wapi anapatikana tuwasiliane inbox .. Ntamlipa laki 3 TZs!
Na alipo Ulizwa kama ana uhakika na Amesha lifikishwa kwenye vyombo vya Usalama Alicho jibu hiki hapa
"Hivi unadhani hadi nimeandika hapa POLICE bado sijaenda? Evidence zipo ZA kutosha... Hadi CCTV camera! Fake signature & finger prints na RB ipo! Lakini police wenu si mnawajua 😳"
Kwa Picha,Matangazo,Habari,
Matukio LIKE MJUMBE BLOG ili Uji update kila mara.
Post a Comment