
"Nani anamfahamu huyu sura ya kima!? She used to work at Barclays kinondoni branch!!!"
Watanzania wanao ishi nje ya nchi wame lalamikia baadhi ya wahudumu wa Benki ambao inasemekana wamekuwa na tabia ya kuiba fedha za wateja wao.
Akiongea kwa uchungu miongoni mwa Wa athirika wa mchezo huo mchafu ali kaririwa akisema
Kila mwenye historia ya kutapeliwa bank Tz aje hapa ashushe hoja maana hali si hali tena! Tuambizane kwa uwazi tu @ transparency
Plz share maana imeshakuwa balaa... Soon I will share my story nilivyoibiwa 2.5 mil TZs Barclays ! ! My first diposit!!! It all vanished from my accounts!!! 😩
Akisisitiza kuhusu Mhudumu aliye fanya uharifu huo aliye fanyiwa uhalifu huo alisema
Yep.. Mtu yoyote anayemjua jina lake na anapoishi na wapi anapatikana tuwasiliane inbox .. Ntamlipa laki 3 TZs!
Hivi unadhani hadi nimeandika hapa POLICE bado sijaenda? Evidence zipo ZA kutosha... Hadi CCTV camera! Fake signature & finger prints na RB ipo! Lakini police wenu si mnawajua 😳
Kwa yeyote yule anaye Mjua Binti huyo pichani afanye mawasiriano nasi ili Kufanikisha zoezi hili!!
Zawadi ime ahidiwa kutolewa kwa atakaye weza kumtambua na kuwezesha kupatikana kwake.
©Mjumbe Blog Volunteers
Ffggg
Fgghh
Ffddffff
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.