Unknown Unknown Author
Title: CHID BENZ APANDISHWA KIZIMBANI!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro ’Chid Benz’ leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijin...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid
Makwiro ’Chid Benz’ leo amepandishwa
tena kizimbani katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
kufuatia kesi yake ya kukamatwa na
madawa ya kulevya kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Kesi ya staa huyo imeahirishwa mpaka
Januari 15, 2015 itakapotajwa tena. (

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top