
Mshindi wa Big Brother ‘hotshots’
2014, Idris Sultan kutoka Tanzania
aliyekuwa akituwakilisha ndani ya
mjengo huo.
KAMA TULIVYOITOA TATHMINI MAPEMA
ASUBUHI YA LEO KUWA TANZANIA INA 90%
ZA USHINDI! NDIVYO ILIVYOKUA!
Mshiriki kutoka Tanzania aliyekuwa
akituakilisha ndani ya mjengo wa
Big Brother ‘hotshots’ , Idris
Sultan ameibuka kidedea katika
shindano hilo usiku huu na kunyakuwa
kitita cha dola 300,000 (Sawa na
510,186,000).
Fainali za Big Brother ‘hotshots’
zilianza saa 2 :00 Usiku huku Idris
akiwaongoza wenzake saba ambao ni
Tayo (Nigeria), JJ (Zimbabwe),
Nhlanha (Afrika Kusini), Sipe
(Malawi), Butterfly (Zimbabwe), Ma
mbea (Ghana) pamoja na Macky2 wa
Zambia.
©Mjumbe Blog Volunteers
posted from Bloggeroid
Post a Comment