Kume kuwepo na tetesi mbalimbali zinazo sambaa mitandaoni kuhusu aliye kuwa mshindi wa BBA mwaka huu Idris Sultan,Kuhusu mahusiano yake ya kimapenzi kwasasa yeye amesema; ".....Siwezi kujua nani atuwa mkweli na yupi anakuwa sio mkweli... kwasababu hata wale ambao zamani walikuwa sio marafiki zangu wamekuwa marafiki zangu... so unapo niuliza ninani au nina mpango gani na hao wasichana ulio wataja siwezi kusema...'posted from Bloggeroid
Post a Comment