JAMBO! TANZANIA.... MWONEKANO WA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO LEO ASUBUHI!
Taswira ya Mlima Kilimanjaro,Kutokea Upande wa Mwika Unavyo onekana Asubuhi ya Leo
Kume kucha Vizuri leo Mkoani Kilimanjaro,Hata Mlima Wetu usio isha Seruji nao Unaonekana vema kabisa Kama Ukikaa baadhi ya Maeneo ya Moshi Mjini,Mfano mitaa ya Shanti town,Uelekeo wa Barabara ya Mwika Kupitia Barabara ielekeayo KCMC,Maeneo ya Air port Katika Manispaa ya Moshi Unaweza ukafaidi kutizama Mandhari yenye Kuvutia na ya kipekee nchini mwetu na Mwonekano adhimu Ulimwenguni kwote.
Ni kilele cha Kibo katika Mwonekano wake Murua.
Picha Na:Mdau wa MJUMBE BLOG,MOSHI.
06
Dec
2014
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.