

Pichani juu ni Taswira [Picha jinsi Chama cha mapinduzi kilivyo Hitimisha Kampeni zake Katika mji mdogo wa Mlowo leo Upande wa CHADEMA nao wali hitimisha Kampeni kwa kuamua kuzunguka mitaa yote ya mji mdogo wa Mlowo na Kutoa taarifa rasmi ya kuwepo kwa uchaguzi wa wajumbe wa serikari za mitaa isipo kuwa kwa nafasi ya mgombea wa uenyekiti wa kijiji ambaye shauri lake lipo mahakamani,hivyo kuwa taka wana nchi wasubiri mpaka mahakama itakapo toa hukumu.Ila kesho wajitokeze kuchagua wajumbe wa mitaa mbalimbali kwa wingi. Tazama picha zaidi hapa chini Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wakikatiza mitaa ya Mlowo leo jioni. 

** Picha Zote na Mdau wa Wetu wa MJUMBE BLOG aliye kuwepo Eneo la Tukioposted from Bloggeroid
Post a Comment