MTI SHAMBA HUU!
Naam;Mti mkavu hau chimbwi dawa.. Nilisha wahi kusema kuwa Kujua huu mti ulichimbwa dawa ni rahisi,Lakini kujua ni dawa ipi ambayo hutokana na mti husika ni suala lingine kabsa!! Hili kuna wazee wenye makamo wanao ishi kijijini kwa kutumia uzoefu wao wana weza waka tambua upi ni upi! kwa ladha,Majani,Mizizi au mti wenyewe.ZINGATIO:Sio kila mzee anaye ishi kijijini anaweza akaitambua miti hii! Lahasha!! Wengine ni wazee na Mvi zao lakini ni Wazee wa Kanisa tu ama ni wazee wa benchi la ufundi tu...
____________________________________________________________________________________________________________________________________
Picha Maktaba za MJUMBE BLOG
Post a Comment