PATA RATIBA YOTE NA TASWIRA JINSI SUGU ALIVYO TIKISA JIMBO LA MWAKYEMBE 27 DISEMBA 2014!
Umati ulio jitokeza kumu sikiliza Mhe.Joseph Mbilinyi mbunge wa Mbeya Mijini Katika jimbo la kyela
Baadhi ya wanachi wakiwa wame shikiria mabango yenye ujumbe kumu elekezea Mbunge huyo
SUGU akiongea na wananchi walio jitokeza katika viwanja hivyo
Tangazo la Ratiba ya Mhe.Joseph Mbilinyi Mkoani Mbeya kama ilivyo ratibiwa
____________________________________________________________________________________________________________________________________
CREDIT:Picha zote Mali ya FURAHIA MAISHA BLOG
Post a Comment