Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA MBALIMBALI:BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA DAR SI SALAMA TENA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mvua kubwa iliyonyesha leo maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam imesababisha usumbufu kwa wakazi wa jiji... Nipo Makumbusho...Mvua kubw...
Mvua kubwa iliyonyesha leo maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam imesababisha usumbufu kwa wakazi wa jiji... Nipo Makumbusho...Mvua kubwa inaendelea kunyesha hapa..Jirani kwetu kijitonyama mvua imenyesha sana barabara ndogo hazipitiki..baadhi ya nyumba hasa maeneo ya akachube road jirani na KD hotel au EU hotel bondeni maji yameingi kwenye nyumba za watu...
Mvua kubwa zilizonyesha dar es salaam siku hii ya leo zimeleta shida kubwa katika sehemu tofauti kama vile kwenye mambo ya usafiri barabarani na shida kwenye kufanya manunuzi leo hii. Hali halisi ilikuwa kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu!
Hivi ndivyo hali ilivyo kuwa Magomeni,Kagera leo baada ya Mvua kunyesha

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top