WANAFUNZI WANGU HAWA:NILI WASISITIZA WASI KARIRI NINACHO WAFUNDISHA...!
Pichani ni wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiwa darasani katika moja ya shule nchini.Wakiwa katika hatua za awali kabisa za kuunda maana ya neno HISTORIA!!!
__________________________________________________________________________________________________________________________________
...Nilipo gundua kuwa wengi wana kariri kile ninacho waelekeza nika wakumbusha tena WASIKARIRI ninacho waelekeza wala WASINIKARIRI mimi!! Hata wao WASIJIKARIRI bali waelewe na wajue kuwa Mimi sikuja darasani pale ili niwa fundishe;Bali nilikuja ili kuwafanya WAFIKIRI KWA BIDII!! ...Na nika wakumbusha kuwa mimi sio mwalimu wa Historia... Historia ni mwalimu mwenyewe!!
___________________________________________________________________________________________________________________________________
Swali langu la Msingi lilikuwa WHAT IS HISTORY? Liki maanisha HISTORIA ni nini? Naam;Wadau:Historia ni nini?
Post a Comment