Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA:JINSI WANANCHI WALIVYO JITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA VITUO VYA KIJIJI CHA MLOWO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Sehemu ya wananchi walio jitokeza kupiga kura katika kituo cha shule ya msingi Mlowo leo asubuhi ili kuamua mwakilishi wao wa serikari ya m...
Sehemu ya wananchi walio jitokeza kupiga kura katika kituo cha shule ya msingi Mlowo leo asubuhi ili kuamua mwakilishi wao wa serikari ya mitaa
Baadhi ya wananchi walio jitokeza kupiga kura katika kituo cha Sokoni katika mji mdogo wa Mlowo leo asubuhi
Sehemu ya wananchi walio jitokeza kupiga kura leo katika uchaguzi wa serikari za mitaa Kituo cha mtaa wa Mabatini
Pichani juu ni Mkurugenzi wa wilaya ya Mbozi alipo wasiri katika kituo cha mabatini cha kupigia kura na kuombwa atoe maelezo kwa wapiga kura baada ya kutoelewa namna ya kuwapigia kura wagombea wao. ************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************ Picha zote na Mdau wa MJUMBE BLOG; Mlowo,Mbeya.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top