Unknown Unknown Author
Title: TAZAMA PICHA MLOWO:CHADEMA WATOA NENO LA SHUKRANI BAADA YA KUTWAA VITI VYOTE SABA VYA UENYEKITI WA MTAA NA WAJUMBE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
BAADA YA CHADEMA KUTWAA VITI VYOTE KATIKA SERIKARI YA KIJIJI CHA MLOWO KWA NAFASI YA UENYEKITI WA MTAA NA WAJUMBE WOTE HIVINDIVYO WALIVYO AM...
BAADA YA CHADEMA KUTWAA VITI VYOTE KATIKA SERIKARI YA KIJIJI CHA MLOWO KWA NAFASI YA UENYEKITI WA MTAA NA WAJUMBE WOTE HIVINDIVYO WALIVYO AMUA KUTOA SHUKRANI YAO KWA WANANCHI WAO! Hii ni Baada ya Kukaa vituoni kwa zaidi ya masaa Kumi na Tisa jana wakisubiri matokeo katika baadhi ya vituo hata pale walipo tangaziwa na wakaanza kusheherekea ushindi wao usiki kucha pale zilipo ofisi zao za kijiji na kata. Pichani ni wafuasi wa CHADEMA wakipita mtaa wa Mabatini leo mchana kuwashukuru wananchi kwa kuwapa dhamana ya kuwa ongoza katika serikari za mitaaa Wafuasi wa CHADEMA katika kijiji cha Mlowo waki pita mitaani,Pichani wana elekea Kitongoji cha bondeni Hivi ndivyo wafusi wa CHADEMA katika kijiji cha Mlowo walivyo toa shukrani zao kwa wananchi baada ya kushinda katika Serikari za mitaa Uenyekiti wa mtaa na wajumbe wote Pichani ni Wafuasi wa CHADEMA wakiendelea kukatiza katika mitaa mbali mbali na hapa ni mtaa wa Kiwandani Hivi ndivyo walivyo kuwa wakisherehekea ushindi wao na kutoa neno la Shukrani wananchi wao kila mtaa wa Kijiji cha Mlowo *** Picha Zote na Mdau wa MJUMBE BLOG aliye kuwepo Eneo la Tukio,Mlowo Mbozi,Mbeya

posted from Bloggeroid

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top