Unknown Unknown Author
Title: BadNewZ:MWANABLOGU ACHAPWA VIBOKO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwanablogu wa saudi Arabia aliyehukumiwa kifungo cha 10 Mwanablogu nchini Saudia amechapwa viboko hadharani kwa madai ya kutusi dini ya ...

Mwanablogu wa saudi Arabia aliyehukumiwa kifungo cha 10 Mwanablogu nchini Saudia amechapwa viboko hadharani kwa madai ya kutusi dini ya kiislamu. Raif Badawi ambaye alianzisha mtandao kwa jina ''Liberal Saudi Network'' alihukumiwa kifungo cha miaka 10 msimu wa joto uliopita. Mahakama pia iliagiza acharazwe viboko 1000. Amechapwa viboko hivyo katika mji wa Jeddah. Ilieleweka kwamba angetandikwa viboko hamsini na kwamba alitarajiwa kuchapwa viboko zaidi wiki zilizofuatia. Mwanablogu huyo alichapwa viboko licha ya wizara ya maswala ya kigeni nchini Marekani kutaka kuondolewa kwa adhabu hiyo walioitaja kama ya kikatili. ___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________Credit:BBC

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top