Leo tarehe mosi Januari 2015,siku ys mwaka mpya,maeneo ya kimara suka Dar es salaam.Wafanya biashara wa chakula maeneo haya walikua na pilika pilika nyingi kuwahudumia wateja wao Nikiwemo mimi mwenyewe na hasa ukitegemea uzito wa siku yenyewe
Kwakweli siku imewaendea vema wafanya biashara hawa wa chakula
Mjumbe Jr
Post a Comment