Unknown Unknown Author
Title: NILIPOINGIA DAR ASUBUHI YA LEO NILIFURAHISHWA NA HIKI..BIG UP MAMLAKA INAYOHUSIKA...
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Stendi ya mabasi ya Ubungo mataa imehamishiwa eneo jingine nyuma ya stendi ya mabasi yaendayo mikoani jambo ambalo limepunguza msongamano ...

Stendi ya mabasi ya Ubungo mataa imehamishiwa eneo jingine nyuma ya stendi ya mabasi yaendayo mikoani jambo ambalo limepunguza msongamano maeneo ya ubungo na kusababisha adha kubwa kwa watumiaji wengine wa maeneo hayo

 
Pichani ni eneo jipya la stendi ya mabasi ya Ubungo Jijini Dar es salaam ikiwa ni juhudi za mamlaka ya jiji kupunguza msongamano maeneo ya Ubungo mataa.

  


Mjumbe Jr
Dar es salaam


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top