Unknown Unknown Author
Title: KUMRADHI PICHA ZINATISHA:WAFARIKI KWA AJARI,ULEVI WATAJWA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Inatisha sana jamani usiendeshe wakati umetumia kilevi. Mke wa mmiliki wa Hotel ya Aquiline Hotel iliyopo Arusha maeneo ya Stend, amef...

Inatisha sana jamani usiendeshe wakati umetumia kilevi. Mke wa mmiliki wa Hotel ya Aquiline Hotel iliyopo Arusha maeneo ya Stend, amefariki hapo hapo yeye na wifi yake baada ya kupata ajali mbaya ya gari maeneo ya kikatiti. Watu waliofika eneo la tukio wanasema walikuta chupa za pombe aina ya konyagi ndani ya gari wakati wanawanasua.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top