WAKATI Msajili wa Hazina amebariki posho mpya
za safari za ndani kwa wafanyakazi wa Mamlaka
ya Bandari Nchini (TPA) kuwa Sh 500,000 kwa
siku kuanzia Januari 2, mwaka huu, imebainika
kuwa walishaanza kulipana hivyo tangu mwaka
2011.
Hayo yalibainika jana wakati wa Kamati ya Bunge
Hesabu za Serikari (PAC), ilipokutana na
Menejimenti ya TPA jijini Dar es Salaam.
posted from Bloggeroid
Post a Comment