Alicho Post R.O.M.A
This is not fair
Tunaumizana wenyewe kwa wenyewe!!!!
Feel sorry 4 mothers n children
#PANYAROAD_DARESALAAM SASA!!
Hali sio salama kabisa! !!!
Jeshi la Polisi wanachelewa sana kuchukua hatua!!!!
That's not #FAIR
Alicho Post JULIUS S MTATIRO...
HAWA MBWA MWITU "PANYA ROAD" NI KITU GANI??
Wameharibu matembezi yangu ya mguu na Baba yangu. Tulitokea Ubungo External tukiwa tunatembea kwenda Tabata Relini, tulipofika Maeneo ya Mwananchi (Mandela Road) tumekuta watu wanakimbia hovyo, tukataarifiwa watu wamekatwa mapanga na kikundi hicho maeneo ya Manzese, Mabibo Mwisho na Ubungo Maziwa.
Maduka na baa zote zimefungwa, nilitaka kusonga mbele Raia wema wakanisihi nirudi na Mzee, dada mmoja akatoa ushuhuda namna walivyowahi kuteka na kupora na kuumiza watu kwa mapanga, nondo, marungu na mikuki pale Buguruni. Mimi na Mzee tumepanda daladala kurudi home, tumefika Mabibo hostel tnakuta kila duka na baa imefungwa....."Oanya Road".
KUTOKA JAMII FORUM .....
Taarifa Zaidi Zita endelea Kuwafikia Kupitaia BLOGU YETU ya MJUMBE BLOG Hapa Mtandaoni.

Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar
Ninayoandika hapa ni panya road kinondoni na mwananyamala muda huu wanafanya yao
======== UPDATES =======
- Panya Road ni criminal gang.Mengi huanza taratibu na kuja kuwa na nguvu za ajabu.Huwa na nguvu za kiuchumi pia ambazo hutokana na shughuli haramu za ujangili nk.Hivyo basi kama jeshi letu la polisi halina bado kitengo cha Gang Unit,kianzishwe.Huwa kuna tabia ya binadamu kuigana.Vijana wengine wanaweza kuiga "trend"
- Panya road ni kundi la kihuni.. Linatekeleza matukio mbali mbali ya kihalifu... Kama wizi.. Uporaji.. Utekaji nyara.. Uuaji.. Ubakaji.. etc.. Maskani kwake ni Mburahati... Nusu kama sio wote wadau wa hili kundi wanacheza michezo ya hatari hatari.. Vyuma vizito wengine wanaruka wanatua.
- Kuna taarifa zimekuwa zikitolewa juu ya uhusika wa Jeshi la Polisi. Kuna maeneo yanayodai Polisi hawajali wala kuingilia vurugu hizi, wengine wanadai polisi wamekimbia vurugu hizo huku katika maeneo mengine inasemekana polisi wamevaa nguo za raia ili kujichanganya na kuwakamata kwa urahisi washiriki wa kikundi hicho cha kihalifu.
- Panya Road wamevamia maeneo mengi Dar... Kijitonyama, Mwanyamala, Kinondoni ni vurugu tupu; risasi na mapanga
- Baa za Meridians, Jakaranda na Mango zimefungwa
Taarifa Zaidi Zita endelea Kuwafikia Kupitaia BLOGU YETU ya MJUMBE BLOG Hapa Mtandaoni.
Post a Comment