Tume kuwa tuki elezwa na wanazuoni kuwa Fuvu la binadamu wa kwanza lilivumbuliwa katika bonde la Oldvai,Na mtafiti Dr Mary Leakey mwaka 1959.Ni kitambo kidogo kwani yapata miongo kadhaa tangu agundulike binadamu huyu wa kwanza.Je usha wahi jiuliza Madhari ya bonde hilo yakoje kwa mwonekano?
Tazama picha zifuatazo ili upate taswira halisi ya Bonde la Oldvai katika kipindi cha sasa;
Pichani ni Mandhari ya bonde la Oldpai katika Uasili wake.
Taswira ya muonekano wa bonde la Oldvai lililoko Arusha.n
Picha nyingine iki sawali mandhari ambayo watafiti na wana Akiolojia huya tumia kufanyia utafiti wao.
Unapo sikia Bonde la Oldvai katika Msimu kama huu basi inapasa uvute Taswira kama hii
Pichani juu ni taswira mbali mbali katika Bonde la Oldvai,Sehemu inayo aminika ndipo lilipo chimbuko la binadamu!
Pichani ni Muhifadhi wa Makumbusho ya Elimu viumbe ndugu Aloyce Mwambwiga akiwa ndani ya Bonde la Oldvai kufanya utafiti wa kiakiolojia katika bonde hilo.
Pichani ni Mu Oldopai wenye maana ya ' Oldvai '
mimea ya asili inayo patikana kwa wingi Eneo la
Bonde la Oldvai ambako ndiko lilipo vumbuliwa
fuvu la mtu wa kale zaidi na Mary Leaky miaka
ya 1959 . Ni mmea unao hifadhi maji misimu yote
kwa mwaka, Ambapo wafugaji huitumia kama
malisho ya mifugo yao ambayo ni kama chanzo
cha maji pia.
Picha Na Mdau mwenza wa MJUMBE BLOG,Bonde la Olvai,Arusha.
Tunashukuru kwa kututembelea;
Tutembelee kila mara kwa kjandika MJUMBE BLOG Mtandaoni kisha ingia hapo kwa picha,Habari mpya,Taarifa muhimu,Matangazo kila mara.

posted from Bloggeroid
Post a Comment