Tatizo ni simu au ni sisi?
Rose Muhando ana imba hivi;
Facebook! Facebook!
Twiter amekuwa mwalimu wa vijana wa leo...!
....eti wana chati!!
Wanafunzi wanafeli Mitihani!!
Eti wana Chati!!
MmH.
Mtoa picha amekaririwa akisema
"...Shule zote Tanzania hii haziruhusu
kuwa na simu shuleni. Kijana huyo
anayeonekana hapo anaivunjavunja simu mbele
ya wenzake kwa kutosikia imenpelekea mpaka
hatua hiyo. Maana vinginevyo yeye pia hata
shule angepoteza...."
Na Lupondo Gilbart
Swali la Msingi:Hiyo ni she ria au Utaratibu?
Swali la nyongeza:Shule zote zipi? Za kata! Seminari au Kimataifa?
Ku KARIRI KUBAYA!!
posted from Bloggeroid
Post a Comment