Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA YA ZIARA YA RIDHIWANI KIKWETE KUHARAKISHA MAENDELEO,CHALINZE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ridhiwani akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia katika kijiji hicho ambapo aliwataka kuacha tabia ya kukata miti ovyo kwa ajili ya mka...

Ridhiwani akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia katika kijiji hicho ambapo aliwataka kuacha tabia ya kukata miti ovyo kwa ajili ya mkaa ama sivyo vijiji vitageuka jangwa.
Mkazi wa Kijiji cha Kwaluhongo, Dustan Sangi akiuliza swali kwa Mbunge wake Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano uliofanyika kijijini hapO
Ridhiwani akizungumza jambo na Khamis Ibrahim baada ya mkutano kumalizika katika Kijiji cha Kwaluhongo, wakati wa ziara yake ya kikazi katika Kata ya Mbwewe, Chalinzi, wilayani Bagamoyo jana
Ridhiwani akiteta jambo na Mzee Suleiman Kadagala baada ya kumalizika kwa mkutano huo _________________________________________________________________________________________________________________________________ Picha Zote:VICTOR SIMON

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top