Unknown Unknown Author
Title: SadNewZ:PICHA TISA;AMBAYE HUWA ANA WAANDIKIA BARUA WAFUNGWA WA MADAWA YA KULEVYA HONG KONG,ATUA NCHINI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Padri John Wotherspoon anayechapisha barua mbalimbali za wafungwa wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya Hong Kong baada ya kukamatw...

Padri John Wotherspoon anayechapisha barua mbalimbali za wafungwa wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya Hong Kong baada ya kukamatwa na dawa za kulevya anafanya ziara nchini Tanzania kutembelea familia za wafungwa hao. Padri Wotherspoon alianza ziara yake mwishoni mwa mwaka jana na anaendelea na ziara ya kutembelea familia hizo hadi hivi sasa. Fr John Wotherspoon ambaye pia ni member wa JamiiForums anasema aliwasili nchini akiwa na fedha za wafadhili kukoka Hong Kong kwa ajili ya kusasadia familia za wafungwa walio magerezani Hong Kong. Lakini fedha hizo zimeishia kwenye familia 5 tuu huku bado akiwa na familia nyingine kama 30 za kutembelea na kuzijulia hali. Padri huyo ambaye anaendesha kampeni yake dhidi ya madawa ya kulevya kwenye tovuti yake ya Pope Francis amekuwa akichapisha baru nyingi kutoka kwa wafungwa wa Kitanzania walioko magerezani huko Hong Kong baada ya kukamatwa na dawa za kulevya. Barua hizo zinapatikana hapa:2013). Kwa maneno yake Padri mwenyewe akiwa ziarani Tanzania anasema: The more I see of the poverty and hopelessness of the people here, the more I can understand why HK's Tz inmates were persuaded to become drug traffickers .....to try to get money for their families It's not convenient for me to put photos/details of some of the people I'm visiting these days. e.g. one lady whose daughter is a HK university student. Daughter was persuaded by Drug Lord to become pregnant, and then when obviously pregnant, to consume drug capsules and go to HK ....with the aim of avoiding X-ray checks because pregnant. Baby was born in HK and spent its first year with mother in the hospital section of the prison. Baby now in a HK orphanage until mother is released in about 5 years time ...for trip back to Tanzania. Kwa wale waliokuwa wanadhani kuwa zile barua zilikuwa feki na za kutunga sasa wana fursa ya kumwuliza mwenyewe huyo padri. Yupo Bongoland kajaa tele. For DRUG lORDS, mjumbe hauawi.
Alispend muda uwanjani hapo akitafuta kadi ya simu, USB modem nk.
Baada ya kuwasili alienda Baraza la Maaskofu Tanzania kutuma email na kupiga simu kutafuta chumba cha kulala lakini akakuta ofisi zao zimefungwa kwa ajili ya Krismasi na Mwaka Mpya. Ikambidi akatafute hoteli kitaa na kuipata hii.
Akiyafurahia madhari ya Dar
Padri akifanya kilichomleta ambacho ni kutembelea familia za wafungwa wa Kitanzania huko Hong Kong. Hapa akiwa na mke wa mmoja wa wafungwa hao. Kabla ya mume wake kubeba unga na kukamatwa huko Hong Kong, mama huyo alikuwa tuu mama wa nyumbani. Ana watoto watatu ambayo sasa wako wanatunzwa na bibi/babu zao huku yeye akifanya kazi mbili kuyakabidhi maisha. Moja ya kazi hiyo ni kufangia kuanzia saa kumi na mbili asubuhi na huwa anaifanya kwa siku sita kwa wiki. Padri alimpa baadhi ya donation ili kulipia ada ya mwaka mmoja kwa watoto wake wawili.
Akicheki mitaa ya jiji.
Daughter of lady in blue is a HK "university student". Mtoto wa huyu mama alidanganywa na drug lord mmoja apate ujauzito. Alivyopa ujauzito akameza vidonge vya dawa za kulevya na kusafirisha kwenda Hong Kong. Dhumuni la kupata ujauzito lilikuwa ni kukwepa kufanyiwa X-ray. Mtoto alizaliwa Hong Kong na aliishi na mama yake kwenye sehemu ya hosipitali iliyoko generezani alikofungwa. Sasa hivi mtoto yuko kwenye orphanage mpaka mama yake atakapomaliza kifungo chake cha miaka 5 ili kurudi nae Tanzania.
Padri akikatiza kitaa huku akiendelea kupiga picha
Padri akipiga picha uraiani. Anadai anakuta vijana wengi wasio na ajira wamejikalia tuu uraiani siku nzima.
Aliyevaa blue anaitwa Crispin (26) alizaliwa kipofu. Hapati msaada wowote kutoka serikalini. Aliyebeba mtoto ni dada yake, pamoja na dada mwingine na kaka yake ni ombamba. Kwa msaada wa marafiki wa Hong Kong, Padri aliweza kuwa donation kulipia ada ya shule ya mwezi mmoja watoto hao wadogo wawili. _________________________________________________________________________________________________________________________________________________________ Credit:Jf

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top