Unknown Unknown Author
Title: YAJUE:MAMBO MAKUU MATATU ANAYO PASWA KUWA NAYO MTU ILI KUWA RAIS!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
1. Kujenga mihimili ya kisiasa 2. Kuwajengea watu 'imani ya kiurais' - Presidential trust, kwako, na zaidi kulifanya kundi muhim...

1. Kujenga mihimili ya kisiasa 2. Kuwajengea watu 'imani ya kiurais' - Presidential trust, kwako, na zaidi kulifanya kundi muhimu katika jamii likuamini; Afrika kundi muhimu katika jamiii ni kundi la wazee. Ukubalike na wazee. Vijana Afrika hawawachagui waliokataliwa na wazee. 3. Kuchapa kazi, na uonyeshe kwa vitendo uhodari wako wa kuchapa kazi. Yote hayo hapo juu yana ufafanuzi wa kichambuzi, muda hautoshi. Siku njema. *********************************************************************************************************************************************************** Maggid

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top