Unknown Unknown Author
Title: UKATILI:TUNAOMBA MTUWIE RADHI KWA PICHA TAFADHARI! AMWAGIWA MAJI YAMOTO YA KUPIGIA UGALI,TARIME!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MmmH!! Wenzetu hawa wana matatizo gani? Lini tutashuhudia unyama huu ukikomeshwa? Repost from @mrekebishatabia #repost #bestsellersonline...
MmmH!! Wenzetu hawa wana matatizo gani? Lini tutashuhudia unyama huu ukikomeshwa?

Repost from @mrekebishatabia #repost #bestsellersonline "Tuwieni radhi Kwa picha hii. Kutoka wilaya ya Tarime mwanamke amwagiwa maji ya moto ya kusongea ugali na mumewe kisa alichuma mahindi mawili ktk shamba lao bila ruksa ya mumewe sasa amelazwa hospital ya musoma kwa matibabu na mtuhumiwa ametoweka" Kwakweli mkoa wa Mara unahitaji maombi!! *********************************************************************************************************************************************************** Elastic Mbella ame ikopi kwa Joyce Kiria.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top