Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha za viongozi na waasisi wa Zanzibar huru zikiwa zime bebwa na vijana Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed...

Picha za viongozi na waasisi wa Zanzibar huru zikiwa zime bebwa na vijana
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiwasili kwenye uwanja wa Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari 12, 2015.
Rais Dkt ALI MUHAMED SHEI akikagua gwarid katika maazimisho ya kumbukumbu ya miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar
Kikosi cha Bendi ya Jeshi kikitumbuiza
Ni shamra shamra ili mradi tu kuipendezesha sherehe na maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya mapinduzi
Pichani ni baadhi ya viongozi wa Kitaifa walio hudhuria maadhimisho hayo akiwemo Mhe.Mwigulu Nchemba aliye onekana kuwa na ukaribu wa hali ya juu na Profesa Lipumba mwenyekiti wa CUF katika sherehe hizo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top