Unknown Unknown Author
Title: UTOTO RAHA EEEH!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ni mchezo unao julikana kama Rede,huchezwa na watoto wenye rika kuanzia miaka minne hata kumi na nne kwa vijijini na mijini ni miongoni mw...

Ni mchezo unao julikana kama Rede,huchezwa na watoto wenye rika kuanzia miaka minne hata kumi na nne kwa vijijini na mijini ni miongoni mwa michezo inayo mfundisha mtoto kuwa mbunifu na mwenye hamasa ya kushindana kila mara! ***********************************************************************************************************************************************************Utoto raha eeh! Lakini kumbuka kuwa kuna watoto wanao tamani WAWE WATU WAZIMA! Ili waendeleze ndoto zao,ndiyo maana utawasikia Nikiwa mkubwa Nita....!

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top