Pichani ni Binti aliye jistiri kama anavyo onekana na kumfanya EDDO KUMWEMBE amwandikie Maneno haya:
"...Thanks GOD kwa kazi ya Mikono yako... U don't have to be naked to show how Cute your..."
Baada ya kuonekana mashabiki wake wame kuwa na maoni tofauti na Mtazamo wake ali sema
Santiago Bravo ujumbe niliouleta hapa ni kwamba unaweza kujitanda vizuri na bado watu wakaappreciate kwamba you are so cute....sijaweka hiyo picha hapo kusifu uzuri wake pekee.....
she is so cute....hakuna ubishi...na amewafumba midomo wale wote wanaolazimisha uzuri kwa kukaa uchi....
MJUMBE
posted from Bloggeroid
Post a Comment